Recent comments

Breaking News

BREAKING NEWS:- U.S.A YAPITISHA UHALALI WA NDOA YA JINSIA MOJA

     Katika mahojiano na moja ya media za nchini Marekani (Online U.S.A) imethibitisha kupitishwa na kuungwa mkono kwa uhalali wa ndoa ya jinisia moja nchini humo. Hii inawahusisha ndoa ya Wanaume kwa Wanaume na Wanawake kwa Wanawake. Mpaka sasa umri kati ya miaka 18-29 ndio inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya ndoa hizo na kushiriki vitendo hivyo kwa kuwa na asilimia 84% ya watu wote wenye umri huo, huku umri kati ya 35 na kuendelea mpaka 65 ikiwa na asilimia 41% ya watu wote wenye umri huo.
     Wataalam wa Mambo wanasema huu ni udhalilishaji wa haki za kijinsia kwa pande zote mbili, pia ni ukihukaji wa haki za watu husika wanaostahili kuoa au kuolewa na si kwa matamanio ya kimwali yanayofanywa na watu wenye hulka ya kufanya mapenzi ya jinisia moja.
Hii ndo falsafa yao kuu ambayo hutumia katika kuteteahoja zao za kutaka uhalali wa ndoa zao kama doa nyingine zilizobarikiwa.

No comments