Team nzima ya MKUBWA THE GREAT inaundwa na vijana machachari katika masuala ya Computing Information Technology and Cisco Networking! Hiyo picha wamepiga katika moja ya safari zao nchini Uganda jiji la Kampala, katika moja ya hoteli ya kifahari pande hizo.
No comments