HII NDIO BUGATTI VEYRON $1,750,000 SAWA NA Tsh.2,829,750,000/=

Bugatti Veyron is a "super" super car - ndio gari pekee linalotazamiwa kuwa ni la aina yake, ambapo nusu yake ni gari la kawaida na nusu yake ni ndege (Aeroplane) Thamani yake ni dola za kimarekani $1,750,000,(Millioni moja laki saba na nusu) sawa na Tsh.2,829,750,000/= (Billion mbili na millioni mia nane)

Mpaka sasa Bugati ndo gari linaloongoza kwa kuuzwa kwa gharama kubwa zaidi. Waundaji wa gari hili wametumia material ya ndege katika uundaji wa gari hilo. Ndio gari pekee linalookimbia zaid duniani.

* The Veyron is powered by the only 16 cylinder engine currently in production and has one of the world’s first ‘dual clutch’ transmissions.
*The Veyron accelerates and brakes faster than any production car in the world.
*It can go from 0 to 62 miles an hour in 2.5 seconds and stop from 62 miles an hour back to 0 in 2.2 seconds.
The Bugatti Veyron has a top speed of 253 miles an hour,

No comments