HIYO NDIO NDEGE NYINGINE YA CLUB YA TP-MAZEMBE YA DRC CONGO

Hii
ni moja kati ya ndege zinazomilikiwa na club ya soka ya Congo DRC Tp
Mazembe ambayo wanacheza Watanzania Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu,
ndege nyingine waliyonayo ndio ilipata ajali ndogo zaidi ya wiki mbili
zilizopita na wachezaji wote kunusurika akiwemo Thomas Ulimwengu,
ilisumbua wakati wa kupaa ikaingia porini kidogo.

No comments