"Namshukuru sana mama yangu mzazi kwa elimu aliyonipatia na nashukuru
sana Wema Sepetu English Course" Diamond ameyazungumza haya wakati wa
mahojiano na kituo kimoja cha Radio cha jijni Dsm baada ya kupongezwa
kwa kujibu vizuri katika interview aliyoifanya (kingereza) baada ya
kupiga show Big brother Africa.
Kusema ukweli amenisaidia sana kufanikisha kwangu kujua kiingereza
maana alikua akinielekeza sana tulivyokuwa inlove, nisipo kuwa na
shukrani kwa kidogo basi siwezi kuwa na shukrani hata kwa kikubwa"
amesema Diamond.
No comments