
.
Baada ya kufanya vibaya katika msimu uliopita, Yanga
wameendelea kuunda timu upya, baada ya juzi kumsainisha Kelvin Yondan,
leo hii timu hiyo imehamia kwenye benchi la ufundi.
Taarifa za kuaminika kutoka ndani ya zinasema klabu hiyo ni
kwamba imemtumia tiketi ya ndege kocha wa zamani wa timu ya taifa ya
Tanzania, Marcio Maximo kwa ajili ya kuja jumanne wiki ijayo kufanya
mazungumzo ya kujiunga na klabu hiyo kwa ajili ya kuliongoza benchi la
ufundi la wanajangwani kuanzia
No comments