WILL SMITH ALIVYOTAKA KUPEWA BUSU NA MWANDISHI
Mwandishi huyo alifika na kumwambia Will Smith kwamba yeye ni shabiki yake mkubwa hivyo akaomba kumkumbatia na baadae akataka kumpiga busu ndipo Will Smith alipokasirika na kumsukuma kwa hasira.
Alichosema Will Smith ni kwamba waandishi wenzake na huyo jamaa walimuomba msamaha na kusema kwamba jamaa huwa ni mchekeshaji labda alifanya hivyo kwa nia ya kuchekesha na hakua na maana mbaya.
No comments