Recent comments

Breaking News

WANACHAMA WA YANGA WAJIKUSANYA KUMNG'OA NCUNGA


Huyu ni katibu wa baraza la wazee bwana Ibrahim Akilimali akizungumza na wanachama wake zaidi ya 700

Hapa wakiomba dua

Hapa wakiruka na kushangilia baada ya kuambiwa jamaa kang'olewa

Hapa wakijiorodhesha

Eti huyu ndio alikuwa chanzo cha 5-0 a.k.a Jembe la Yanga

Picha zote na Al-habab Mohamed

No comments