Recent comments

Breaking News

LORI LENYE GESI LAANGUKA


Lori lenye gesi laanguka na kufunga barabara mkoani Kilimanjaro maeneo ya Mwanga.Ambapo kwenye picha tunaona wahusika wa gari hilo wakiwa wamekaa wakitafakari namna ya kuhamisha gesi hiyo.


Hapa likiwa limefunga kabisa barabara ya Mwanga kama ilivyoripotiwa na mmoja wa wapiga picha wetu huko Kilimanjaro.

No comments