Recent comments

Breaking News

REST IN PEACE PATRICK MAFISANGO

Juma K.Juma goal keeper namba moja wa Simba FC na Taifa Stars akiwa ndani ya huzuni baada ya kufariki kwa mchezaji muhimu wa Simba. Patrick Mafisango ambaye alikuwa kiraka ndani ya Simba alifariki jana asubuhi katika ajali ya gari akiwa akielekea Air-Port baada ya kuitwa katika timu ya Taifa ya nchi yao.MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI...........AMEN!

No comments