JAY Z , WILL SMITH NA NICOLE SCHERZINGER WATOKEA KATIKA MAANDALIZI YA MEN IN BLACK III UINGEREZA
Jay Z in the building Uingereza wakati wa
maandalizi ya movie ya MEN IN BLACK III London Jumatano. Mkali wa movie hiyo
Will Smith alikutana na marafiki na wafanya biashara wenzake kama Jay z ambae
alikuwa London kwa ajili ya Tour ya “Watch the throne” .
Nicole Scherzinger mshiriki
mwenzake co-star katika movie hiyo ya MEN IN BLACK III, Aliwasili akiwa na
Boyfriend wake Lewis Hamilton. Mkali huyo wa zamani kutoka Pussycat Doll
anafanya movie yake ya kwanza ya science fiction amabyo itaonyeshwa katika
Theaters tarehe 25 mwezi huu wa Mei.
No comments