HONGERA MILLARD AYO!!
Nimtangazaji mwenye sauti yaajabu inayovutia wa clouds Tv/Fm
namzungumzia Millard Ayo presenter wa kipindi maarufu cha Amplifier cha
clouds fm ambae ameandaa Makala kamili ya arobaini ya marehem Kanumba
17/05/2012 ambayo imeweza kutupatia taswira fulani kuhusu maisha na
msiba wa kanumba Mmim binafsi had na post hapa bado naiskiliza coz
inleta hisia flani!
No comments