HII NDIO NYUMBA YA KIPEKEE ILIYOPO JAPAN, UKIWA NJE UNAONA KILA KILICHO NDANI.

Hii
nyumba iko Tokyo Japan, japo wengi wanapenda maisha yao ya ndani yawe
siri... huyu jamaa yeye hana taarifa na hilo, an award winning Tokyo
architect named Sou Fujimoto ndio amecreate hichi kitu.
No comments