Recent comments

Breaking News

MATOKEO YA UEFA HAPO JANA 02/10/2012

 
Ilikuwa ni mechi ngumu ambapo Manchester United ilipocheza na CFR Cluj. Timu ya CFR Cluj ilipata goli lake la kwanza kupitia kwa mchezaji wao P.Kapetanos katika dakika ya 14' akipewa pasi safi kabisa kutoka kwa M. Sougou
Dakika 15' baadaye Robin Van Persie alitupia goli la kwanza baada ya kupata pasi safi kabisa kutoka kwa Wayne Rooney. Dakika ya nne ya kipindi cha pili 49'  Robin Van Persie alitupia tena goli la pili baada ya kupata pasi moja safi kutoka kwa Wayne Rooney... Mpaka mwisho wa mechi matokeo yalisomeka 2-1
.

No comments